Jinsi ya kutengeneza blog-(hatua kwa hatua)

Jinsi ya kutengeneza blog-(hatua kwa hatua) Jinsi ya kutengeneza blog

Katika mwongozo huu, nitakuonyesha jinsi ya kutengeneza blog nchini Tanzania kwa urahisi (na kwenye bajeti). Hakuna uzoefu wa kiufundi unaohitajika. Ni rahisi na kwa kasi zaidi kuliko unavyofikiria! Ni wazi kwamba intaneti imekua ikitengeneza maelfu ya fursa kwetu kwa hiyo, sekta ya blogu pia inakua kwa kasi nchini Tanzania. Kwa ufupi, Blogging inakuwa chaguo kamili […]