Nimecheka kwa sauti, usisome stori hii

cheka kwa sauti bila hofu. Soma vichekesho uongeze siku za kuishi, imarisha mbavu na mfumo wako wa upumuaji. Cheka uwesavyo, furahia maisha. Endelea sasa.

Jamaa: Dokta, mpenzi wangu ni mjamzito lakini sikuwahi kufanya nae tendo hata siku moja bila kutumia kondom

Dokta: Sikiliza nikupe stori hii. Kuliwahi kutokea mwindaji mmoja mashuhuri sana na kila alipokuwa akienda kuwinda alibeba bunduki yake. Lakini kuna siku moja mwindaji akapitiwa, badala ya kubeba bunduki akabeba mwamvuli na akaenda kuwinda. Akiwa mawindoni Ghafla akatokea simba mkubwa mbele yake. Yule mwindaji akanyanyua mwamvuli wake na kumshut yule simba, simba akaanguka chini na kufa pale pale.

Jamaa: 😀😀😀 pumbavu huo ni uongo, lazima kutakuwa na mtu mwingine amempiga huyo simba.

Dokta: Asante kwa kuelewa stori, mgonjwa mwingine aingie.

Vunja mbavu

Kulewa kupita kiasi

Jim na John walienda bar, Jim akapendekeza “Leo tulewe hadi tusahau njia ya kurudi nyumbani”
John akauliza “Tunawezaje kulewa hivyo wakati tuna shilingi elfu mbili tu”

Jim: Mimi nina wazo, tununue ice cream, alafu nitaiweka ndani ya zipu ya suruali yangu. Tukishakunywa bia za kutosha nitafungua zipu kisha utaanza kunyonya hadharani. Bila shaka wahudumu wa hapa watatutoa nje, hapo tunakuwa tumekunywa bila kulipa au unaonaje?

John akakubaliana na wazo la Jim. Wakafanya kama walivyopanga. Kweli bwana baada ya kunywa bia kadhaa Jim akafungua zipu kisha John akaanza kunyonya. Wahudumu kuona ivyo wakawakamata na kuwatoa nje.

Jim na John wakafurahi sana mbinu yao kufanya kazi. Wakaamua kwenda kwenye bar nyingine nako wakafanikiwa kunywa bila kulipa. Wakafanya hivyo kwenye bar tisa.

Walipofika kwenye bar ya 10 wakaagiza bia wakanywa kisha Jim akafungua zipu na kumwambia John aanze kunyonya. John akagoma na kusema “Jim nimelewa sana yan miguu inauma hata siwez kupiga magoti na kunyonya.

Jim: Usifanye hivyo John, unafikiri hapa tutaondokaje? Kwanza hata sikumbuki ile ice cream nilipoteza kwenye bar ipi”

Facebook page msomeni blog

Vichekesho zaidi bonyeza hapa

Related Posts

Msomeni Blogu

Najihusisha na masuala ya kimtandao, mbinu mbalimbali za kuanzisha na kuendeleza biashara ya mtandaoni. Email yangu ni msomeniblogu@gmail.com au WhatsApp namba ni 0718453258

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

© 2021 MSOMENI BLOG - Theme by WPEnjoy · Powered by WordPress