Nafasi za kazi za afisa mauzo

NAFASI ZA KAZI ZA AFISA MAUZO

Heritage Drinking Water Limited (HDWL) inatarajia kufungua vituo vipya vya huduma. Ili kufikia hatua hii, HDWL sasa inatangaza nafasi za kazi za mauzo.

Waombaji wanapaswa kutuma maombi kwa njia ya WhatsApp 0656000678 (na si vinginevyo) hadi tarehe 24 June 2021 saa kumi na moja jioni . Watume vitu vifuatavyo:

1. Barua ya maombi ya mkono
2. CV
3. Barua ya mtendaji yenye picha ya mwombaji
4. Barua ya mdhamini yenye picha ya mwombaji
5. Passport size photo ya mwombaji

Sifa ya mwombaji:

  1. Elimu ya shahada,
  2. Awe na smartphone
  3. Awe mkazi wa Dar es Salaam.

Baada ya kupitia maombi ya kazi katika kampuni ya HDWL mwombaji ataitwa rasmi kwenye usaili (interview) Makao Makuu ya HDWL Changanyikeni, Dar es Salaam.

Glory Mbwambo
Meneja mradi
(Kwa niaba ya mkurugenzi Mtendaji)
0656000678

Related Posts

Msomeni Blogu

Najihusisha na masuala ya kimtandao, mbinu mbalimbali za kuanzisha na kuendeleza biashara ya mtandaoni. Email yangu ni msomeniblogu@gmail.com au WhatsApp namba ni 0718453258

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

© 2021 MSOMENI BLOG - Theme by WPEnjoy · Powered by WordPress