Jinsi ya kubadili ‘Add friend’ kuwa ‘Follow’ – Facebook

Facebook imekuwa ni mtandao maarufu katika  kuendeleza na kupata marafiki wapya. Lakini kutokana na ukomo wa idadi ya marafiki ambayo ni 5000 inakuwa ngumu kupata marafiki wengine zaidi.

Kwa wafanya biashara wa mtandaoni inakua kikwazo kikubwa kufikia wateja wengi zaidi. Ili kuepuka hilo,  haina budi kubadili batani ya “Add friend” na kuwa batani ya “Follow” ili watu wengi zaidi wakufolo na post zako ziwafikie.

Fuata hatua zifuatazo kubadili ‘Add friend’ kuwa ‘Follow’

⛔ 1. Ingia Facebook kisha bonyeza alama ya mistari mitatu (menu) upande wa juu kulia

 

⛔ 2. Shuka chini kisha bonyeza neno “Setting”

Kubadili add friend kuwa follow

 

⛔ 3. Shuka chini kisha bonyeza Privacy setting

Msomeni blog

 

⛔ 4. Shuka chini hadi kwenye neno ‘Who can send you friend requests?

Msomeni blog

 

⛔ 5. Kisha badili ‘Everyone’ kuwa ‘Friends of Friends’

Msomeni blog

 

⛔ 6. Rudi tena kwenye Setting Shuka chini kisha bonyeza ‘Public Posts’

Msomeni blog

 

⛔ 7. Kwenye  ‘Who can follow me’ bonyeza neno Public

Msomeni blog

 

Hapo utakuwa umebadili Add friend kuwa follow kwenye akaunti yako ya Facebook. Watu wataanza kukufolo badala ya kukuomba urafiki.

Msomeni.co.tz

Kwa msaada au maswali tuandikie chini kwenye comment au bonyeza hapa

MWISHO.

Related Posts

Msomeni Blogu

Najihusisha na masuala ya kimtandao, mbinu mbalimbali za kuanzisha na kuendeleza biashara ya mtandaoni. Email yangu ni msomeniblogu@gmail.com au WhatsApp namba ni 0718453258

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

© 2021 MSOMENI BLOG - Theme by WPEnjoy · Powered by WordPress